| Makamu Mwenyekiti wa Namanga Sports Club, Olestick Lembo 'Mjomba Ole' akishiriki zoezi hilo. |
| Mhazini wa Namanga Sports Club, Michael Juma 'Mo-Power' akishiriki zoezi hilo. |
| Mdau wa Namanga |
| Mshauri wa Masuala ya Habari na Mawasiliano wa Namanga Sports Club, John Badi akishiriki zoezi hilo. |
| Mjomba akiisikilizia sindano..... |
| Mdau 'Magoma Moto' naye alishiriki. |
| Mwenyekiti David Mwaka akipata ufafanuzi wa jambo kutoka kwa mtaalamu. |
| Mzee wa Samaki samaki naye alishiriki. |
No comments:
Post a Comment