Monday, January 2, 2012

NAMANGA JOGGING & SPORTS CLUB YAUKARIBISHA MWAKA MPYA KIAINA

Mwenyekiti wa Namanga Jogging Sports Club, David Mwaka akihutubia wageni waalikwa wakati wa tafrija ya kuukaribisha Mwaka 2012 iliyoandaliwa na klabu hiyo katika viwanja vya Leecar's Pub Namanga -Msasani jijini Dar es Saam. kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Olestick Lembo aka 'Mjomba Ole' na (kulia) ni Mweka Hazina wa Klabu, Mike Boss. PICHA ZOTE/JOHN BADI

Sehemu ya waalikwa na wanachama.

Bob Chopa na my wife wake.

Wadau wa Namanga, Side (kulia), Nicco Mwalala (wa pili kulia), Thobias Owur na Mama wa TMK.

Mgeni rasmi (kulia), Togocho Mzee wa Pool na Mollel ambaye ni Mwenyekiti wa Biafra Sports Club (kushoto).

Dj na Mc wakiwa kazini.

Mambo ya champagne.


Mhariri Mkuu wa Daily Mitikasi Blog, John Badi (katikati) akiwa mwenye furaha na wadau, Fredwaa (kushoto) na Bebee 'Agent'.

Hamis 'Ntakupiga' akiwa na my wife wake, Bahati (kushoto) na Nunu Sagaf .

Mambo ya mduara hayoooo...

Mwanachama wa G20, Andrew Byarugaba akimlisha ndafu Mwenyekiti wa klabu, David Mwaka kama ishara ya kuagwa. Byarugaba ambaye ni Mwanachama wa klabu na Mtumishi wa Tanesco, amepata uhamisho wa kikazi kwenda mkoani Tanga. Kushoto ni Katibu wa Namanga Jogging, Nangole.

Mambo ya misosi ya kumwaga.

Maburudani yalianza kwa kwenda mbele...


Kaka Mawazo naye aliamua kumwaga radhii........

No comments:

Post a Comment